SIKOMI LYRICS- DIAMOND PLATNUMZ
Verse 1: Wanasemaga mapenzi safari Unavyopita ndo jinsi unajongea Ila niendako nimbali sijuika ntafika Sababu natembae Iliposika gabari Yakisifika nikakesha nangojea ah! Akanariki Jalali na nikawika muziki Nikauotea Ile pru mpaka maka Nikaja ndia kwa bongo movie Kumbe mapenzi hayataki haraka Nikama tangonatia tuchumvi Mwenzenu nikaoza haswa Nakujitia kitandani mjuzi Etinataka fukuza pakabadala yambwa Nikafuga mbuzi Mm wivu ukaniganya Nikagombona namarafika Ugimvi na mama angu Akinambia siambiliki Moyo ukanambia NASEEB sasa mapenzi basi Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi ESMA ananambia mdogo wangu mapenzi basi Ila nang'ang'ania nikiumizwa nahuyu Keshona mwingine Chorus: Ooh mboni sikomi Sikomi Sikomi Richa ya matesi haya Najiuliza Oh sikomi Oh Sikomi mbona (Sikomi) Mbona jamani Sikomi richa ya mateso haya ah! Mmh Verse 2: Aliyonifanyia wa central Akia - MUNGU siyawezi sema Ila nimejifunza kesho siwaamini wachexa sinema Moyo walinipatia mateso siwezi kumeza siwezi...