SIKOMI LYRICS- DIAMOND PLATNUMZ
Verse 1:
Wanasemaga mapenzi safari
Unavyopita ndo jinsi unajongea
Ila niendako nimbali sijuika ntafika
Sababu natembae
Iliposika gabari
Yakisifika nikakesha nangojea ah!
Akanariki Jalali na nikawika muziki
Nikauotea
Ile pru mpaka maka
Nikaja ndia kwa bongo movie
Kumbe mapenzi hayataki haraka
Nikama tangonatia tuchumvi
Mwenzenu nikaoza haswa
Nakujitia kitandani mjuzi
Etinataka fukuza pakabadala yambwa
Nikafuga mbuzi
Mm wivu ukaniganya
Nikagombona namarafika
Ugimvi na mama angu
Akinambia siambiliki
Moyo ukanambia NASEEB sasa mapenzi basi
Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
ESMA ananambia mdogo wangu mapenzi basi
Ila nang'ang'ania nikiumizwa nahuyu
Keshona mwingine
Chorus:
Ooh mboni sikomi
Sikomi
Sikomi
Richa ya matesi haya
Najiuliza
Oh sikomi
Oh Sikomi mbona (Sikomi)
Mbona jamani
Sikomi richa ya mateso haya ah!
Mmh
Verse 2:
Aliyonifanyia wa central
Akia - MUNGU siyawezi sema
Ila nimejifunza kesho siwaamini wachexa sinema
Moyo walinipatia mateso siwezi kumeza siwezi tema
Mana sikushanga ile ghafra toka CCM kwenda CHADEMA
Wanasema kitanda ukitandika shariti ukilalie
Nikajitia ukamanda yatakwisha wacha nivumilie
Kila kiza kikitanda
Ndo vis machozi mi nilie
Penzi yakatia parapanda
Kuwaita waje wahsambulie
Aah acha na PENNY we darling
Nilomuhongaga gari
Aliponambia ana mimba mwisho wa siku akaichomoa chali!!!!!
MOLAH akanitunuku ZARI'
Akanizalia dum na mwali
Nilivomjinga nika cheat aibu mpaka kwa vyimbo vya habari
Moyo unanambia NASEEB sasa mapenzi basi
Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
LAIZER ananambia simba mapenzi basi
Ila nang'ang'ania nikiumizwa na huyu kesho na mwingine
Chorus:
Ooh mboni
(Sikomi)
Mboona
(Sikomi)
Mboona jamani
(Sikomi)
Richa ya mateso haya!
Nishafumaniwa
Oh Sikomi
Nikafuminiwa mimi
(Sikomi)
Nishapambana na watu
(Sikomi)
Richa ya mateso haya!
Mateso mama
Outro:
Ayo LAIZER
Wasafiiii
Comments
Post a Comment